HUKUMU YANGU . SEHEMU YA 1-----2
BOOKING 0766933095 Sikila aliyeenda jera ujue amekosea hapana kunawengine awakukosea bali pesa za watu wakubwa ndo zinazofanya afungwe . Mahakama ya kuu iliyokuwa jijini Dar ilifikisha kizimbani kijana moja aliyekuwa akisoma umodel chuo cha ifm kilichopo Posta Dar es salaam. Kijana huyo alikuwa akiitwa Kendrick Karimes alikuwa akitumikia kifungo chake uku akisubiri hukumu kuwa atashindwa kesi au atachiliwa huru . Muda wa hukumu ulifika na Kendrick Karimes alisimamishwa mbele ya mahakama na kusomewa mashitaka yake . " Wazazi wakijana Kendrick walikuwepo wakiwa wanacheki hakimu atende haki kwa kijana wao . " Kendrick alikuwa akiwaangalia wazazi wake , marafiki zake machozi zalimtoka sana akiangalia yeye ndo mtoto wa kiume ambaye alikuwa akitegemewa na familia yake. Kendrick alikuwa ndo tegemezi japo mtoto wa mwisho wa kiume pekee . Mama Kendrick alibarikiwa kupata watoto wa nne wakike sema watoto ao wote wamezalishwa wapo nyumbani awana msaada wowote ule . Kendrick ndio al...